Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
😂 😂 😂 jomoniNiacheni!![]()
Nenda mwambie trump aachane na vurugu, sisi huku kwamnyamani tutapata shida sana.Nataka aliyepo karibu tuingie hapo mjengoni![]()
Siku hizi mkienda kula kitimoto hata huwa hamniiti kama zamani!![]()
![]()
jomoni
Itafanya kazi kweli?Nikupe dawa?
Jr![]()
Hatari sana 😀
Kabisaa, mie mkwe mdogo
Mimi mwenyewe? Ninaogopa, twende wote Mr.Nenda mwambie trump aachane na vurugu, sisi huku kwamnyamani tutapata shida sana.
Nipo huku machakani Paula, nasikia kupata visa ya huko ni sawa na kuomba kupata pepo.Mimi mwenyewe? Ninaogopa, twende wote Mr.
Aimennnn
Abeee kaka kipenziLovely sissy
Jr![]()

White house dear
Nipe dawa Jr.Imani ndio kitu muhimu.. Ngoja nijaribu
Jr![]()