sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,149
Single faza washaanza kuwa tatizo mjini hapaKuna siku tutaambiwa kitu kibaya kuhusu wawili hawa..
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app
Single faza washaanza kuwa tatizo mjini hapaKuna siku tutaambiwa kitu kibaya kuhusu wawili hawa..
Jr[emoji769]
Huyo mzee ni jirani yangu(shambani) ni mtu poa saana hanaga makuu na huwa natumia upole wake kwa kumuibia vifaa vyake vya shamba [emoji847][emoji847]Mzee JAM...
Mzee shupavu kweli yule..
Huyo mzee ni jirani yangu(shambani) ni mtu poa saana hanaga makuu na huwa natumia upole wake kwa kumuibia vifaa vyake vya shamba [emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzee ni jirani yangu(shambani) ni mtu poa saana hanaga makuu na huwa natumia upole wake kwa kumuibia vifaa vyake vya shamba [emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka na wewe ni mkulima?
Jr[emoji769]
Buno!!