Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpaka vichwani[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale ubunifu unapoenda pasipo kutafakari unachokibuni. Kwamba Doria itakuwa mpaka chumbani au majumbani kwa watu ?

Jr[emoji769]
 

Kama mteja akija navyo na kujiachia chumbani hamna tabu basi ni hotel nzuri mkuu, nilidhani pombe haitakiwi kabisa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…