Mi Nimemmiss Sana..
Zile purukushani zenu zilikuwa zinanipa Raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kigezo kipi ?
Kwa kigezo kipi ?
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Huyu naye sijui kapotelea wapi..Yaani wewe nahisi haujammiss,, na huyu LadyRed naye jamani sijui kapotelea wapi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu naye sijui kapotelea wapi..
Lizarazu popote ulipo njoo hata utupungie mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada wa ofisini mkuu
Jr[emoji769]
Una mpango wa kujinyonga mwaka huu? Soma hapa[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1310961
Jr[emoji769]
Wananchi tunajambo letu kesho pale taifa...
Wangapi tutakutana pale?View attachment 1310999
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hapo unaona umejificha
Pale ubunifu unapoenda pasipo kutafakari unachokibuni. Kwamba Doria itakuwa mpaka chumbani au majumbani kwa watu ?Una mpango wa kujinyonga mwaka huu? Soma hapa[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1310961
Jr[emoji769]
Hapana si kweli.