We noma sana. Umejuaje mwaka wangu niliozaliwa ? Hakika, Kuna watu ni zaidi ya manabii hapa duniani. Sikuwahi kujua kuwa kuna manabii wa kimya kimya. Maana kwa kipawa chako hicho cha hayo maono kwa dunia ya sasa ungekuwa ni mmoja kati ya hawa wanaojiita manabii wakubwa hapa Duniani.