Daah hata sijui mama utanifanya nilie bure maana nimewamiss hao watu vibaya hovyo ukiwaongeza Noelia na The iron batterfly
Kuhusu cute b labda tumuulize Jael
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna story aliileta japo hakueleza tatizo moja kwa mojaHuyo butterfly alitumbuliwa na Lukuvi huko Pwani akahamishiwa porini huko akaja analia lia sijui life isn't fair sijui nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa nafrahi kuskia uko gudi
Sent using [ ]
Na mi nakutumia namba zangu za NIDA ili uzigeuze vocha basi
Huyo butterfly alitumbuliwa na Lukuvi huko Pwani akahamishiwa porini huko akaja analia lia sijui life isn't fair sijui nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhLukuvi alifanya yake,kuna washkaji walikua moro sa hivi wamepelekwa Kigoma huko ndani ndani wanataka kuacha kazi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1310563
Good nyt wana!