happy new year kwenu nyote mashabiki kindakindaki wa uzi huu.
nipo zanzibar katika matembezi na mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
leo nilienda kuitembelea hotel verde. ukiondoa suala la kutouza aina yoyote ya kilevi, huduma zao zipo poa sana kwa bei nafuu.
hotel hii ya nyota tano inamilikiwa na mwekezaji mzawa said salim bakhresa.
kwangu huu ni uwekezaji mkubwa sana katika sector ya huduma za hotel kuwahi kuushuhudia ukifanywa na mtanzania.
View attachment 1310362View attachment 1310360