Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hahaha. Nikajua utashindwa tambua hata hapa.Arusha International Conference Centre
.
.
Happy new year 💥
Ahsante Mkuu na kwako pia.
Hebu tugawane eti jamani
Karma wangu mzuri mzuri jamani!! Nakusalimia tuu mimi
Happy new year broHeri ya mwaka mpya kwetu sote!
Mwenye Enzi atubariki na kila hitaji la mioyo yetu kulingana na mapenzi yake..
Mungu ni mwema sana!
Na kwako pia kakaHappy new year bro
Happy New year to you too babe!!Happy New Year Dada angu mzuri mzuri,, nakupenda mno mimi jamani na nakusalimia pia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina!
Amina!