Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule mwingine V8 sio wangu na simuhitaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], huyo labda uwe nae kule mashariki ya Kati .


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hahaha mkuu unamkana mwanao huyo hivi hivi...sawa ngoja niamini una mmoja
 
View attachment 1306545
Vile tunasubiri match ianze...
20191229_164211.jpg


Nimeamua kukaa na kumuangalia Guendouzi tu Leo maana naona anasemwa shaa kwa ubaya
 
Back
Top Bottom