Dah kuforce kesho haiwezekani labda kesho kutwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] swadaktaaa hizo ndio maneno sasa,, haya niambie tunakutana lini unipe kadi ya gari na hati ya nyumba ili nami nifute picha mbele ya hayo macho yako mazuri.. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nikapoteze pesa photoshoot[emoji23] bora niile tuIkiwa birthday then mtu anakuomba pic hauna ya maana or nasijawah fanya photoshoot .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]unakuta siku moja umepiga picha 20Kumbe tuko wengi,, hata mimi sinaga full pictures yaani nikipiga huwa naziangalia nafuta hapo hapo ila selfies tu ndiyo zimejaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nikapoteze pesa photoshoot[emoji23] bora niile tu
Kumbe tuko wengi,, hata mimi sinaga full pictures yaani nikipiga huwa naziangalia nafuta hapo hapo ila selfies tu ndiyo zimejaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kuforce kesho haiwezekani labda kesho kutwa
ILA si unajua process yakuleta gari mama
Tuanze na bungalow
sijui picha 1 buku 5 yoote hio
Full zinasumbua mapoz ss[emoji23]Yaani mm full zinanishinda kabisa , selfies are way more better than full pictures .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]unakuta siku moja umepiga picha 20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahWala hata usijali we siku ukishakamilisha processes zote ukapata kila kitu hata iwe miaka kumi ijayo niambie tuonane ili tuelewane,, ila kwa sasa ile picha acha tu iendelee kukaa kwa album yangu..
Hivi Saint anne utanilipa kwa hii kazi lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mm full zinanishinda kabisa , selfies are way more better than full pictures .
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui picha 1 buku 5 yoote hio
Full zinasumbua mapoz ss[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
Ushamba muhimu ninunue nguo kisa sherehe ya mtuSasa wengine unakuta anaenda photo studio kabisa ananunua nguo mpya plus makeup kisa birthday ila tupo tofauti , i guess mm bdo ni mshamba mno .
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nikishindwa nitawateka na Saint anne wote[emoji23][emoji23]
Ushamba muhimu ninunue nguo kisa sherehe ya mtu
birthday hata kama ni yangu siwez
Basi nikishindwa nitawateka na Saint anne wote[emoji23][emoji23]