Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha umenikumbusha kule Kinyerezi karibu na home kuna mtu alijenga nyumba yake nzuri tu tena pembeni ya barabara,, sasa alipojenga ni kama pameenda chini hivi kwahiyo mvua ikinyesha maji yote yanatuama pale kwake kuanzia nje yanaingia hadi ndani kiasi mali zake zikawa zinaelea..

Aise sasa hivi amehama ameamua kuifanya kama kashule tu ka nursery kachorachora vikatuni kwa nje kwenye nyumba na kwenye fensi then imekuwa shule,, alijenga pabaya sana pale yaani ukipaangalia utasema shamba la mpunga kumbe pamekaa vibaya tu maana ni kama kabwawa kabisa..
Hahah...

Watu wamelizwa sana Tabata, walikuwa wananunua viwanja wakati wa kiangazi, enzi hizo ukiwa na kiwanja Tabata ilikuwa deal...

Sasa ulipokuwa ukiwadia msimu wa masika unapata mtu kauziwa mahali maji yanapita au ndio yanapokwamia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mie hata kukata tu kucha na meno siwezi, nyie wala kucha sijawahi kuwaelewa.
 
Hahaha ata sijali mie nikiwa mjukuu..
Wabongo mentality yetu sijui iko.. wanategemea kuona vitu vikubwa toka kwa watu fulani..wenye umri fulani.
Wanaona watu welio chini ya umri fulani hawafai kufanya vitu fulani..
mbona wewe ni mkubwa tu eti lakini,, basi baba tema mate tumchape Jael..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata usithubutu mwaya,, mie zimenipa uraibu mbaya mno.. nimejikuta siwezi kuishi na kucha ndefu hata nikiweka tips fupi kiasi gani nitazitoa zote tena kwa meno,, na mbaya zaidi mie kucha huwa natafuna halafu nameza..
I feel useless

Mie hata kukata tu kucha na meno siwezi, nyie wala kucha sijawahi kuwaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni Mimi wallahi
najichuna ngozi kabisaa za vidole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…