Mimi toka saa 9 nimeweka playlist ya nyimbo za old bongofleva mpka sasa nipo nasikiliza..zipo 1881
Hadi zote ziishe itanichukua masaa 143.
Mziki wa zamani ulikua mziki mtamu sana nimeona..D knob na Jeby nimewasikiliza sana leo
View attachment 1303548View attachment 1303549
Sent using
Jamii Forums mobile app