Selfika na JF: Snap it. Show it

Duhhhh, Kimya tena , saa nane hii, Watu wapo busy kupakua na kumimina drinks! Suburini wachangamke na hizo drinks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1476]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duh! Hapo kwenye hilo harage unanipeleka mbaaaaaali sana mkuu[emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka nisicheke ila imenibidi nicheke tu!🀣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…