Selfika na JF: Snap it. Show it

Chips mayai wapi mama sie wenyewe nguna tunapiga sana ila nimeshangaa huo msosi sababu kwanza kabisa mie sipendi samaki wasio na magamba,, pili mie siyo mpenzi wa mlenda na wala sijawahi kuula maishani mwangu,, tatu siwezi changanya dona na muhogo heri nikule kimoja nijue moja,, nne ngoja niweke kapuni..

Though najua hivyo vitu ni vitamu ila mie tu ndiyo sijaamua kuvijaribu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie wa chipsi mayai hamuwezi hayo mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okey.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa sasa mfano majibu ya kushushua kama yako si naweza nikajikuta naharibiwa siku yangu hivi hivi,, nisiwe muongo mie mwenyewe comments nyingi tu huwa nalike bila kusoma..
Lazima nione, kunitukana hakuniharibii siku. Ila majoka[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ya mauzo ya tiles rudisha bank ikazungushe
 
Unyanyapaa mchana kweupeee mangi.
 
Shakutumia.

Ila hili jina badili jamani, unanichumisha dhambi za bure mimi[emoji85][emoji85][emoji85]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Linakufaaa sana Kama linakufanya uchume dhambi, Ukijitahidi kutochuma utakua the Strongest [emoji23][emoji85].


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…