Ndio leo meijaribu, sikujua hiyo mint ni pipi kifua[emoji134][emoji134][emoji134]
Ushamba mzigo mkwe.
Fahari ya macho mtu wangu, nataka na wewe uinjoiSasa mkuu si ndiyo hadi nione jamani au unataka niote tu??
Haha kwahiyo mkuu unataka na mie nifaidi hizo neema za nchi siyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wakavu waungwe vizuri na mchuzi mzitoo wa nazi, na kamlenda na kaugali ka dona kalikochanganywa na muhogo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mbona uliiona maana niliona like yako[emoji848][emoji848][emoji848]
Hahah... Karma nasubiri mualiko wa mwaka mpya
Mint inafanya flavor ya choc ipotee...hapo ni kama unakula toothpaste na mkate
Khaaaah!! Unalike vipi kitu hujaona au hujasoma!!! Kama tusi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa ndipo tunapowakamata watu wanaolike tukidhani wameona au wamesoma walicholike kumbe walikuwa wanazitembeza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] kama naviona namna vinavyokorogana huko tumboni
Sent using Jamii Forums mobile app
World Tea Collection, Christmas Gift kutoka kwa rafiki, ntaifungua 26th View attachment 1302287
Na hivi vingine sijui ni nini View attachment 1302297
Fahari ya macho mtu wangu, nataka na wewe uinjoi
Acha tu, yaani imekuwa kitu cha ajabuu!!Unakuwa kama unalamba colgate
Oooh!!Ni samaki kwenye karanga. Chakula maarufu kwa waganda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani unadhani anaathirika na kitambi changu?
Mnagawiana wenyewe tu[emoji848][emoji848]Mwaka huu zawadi nyingi sana, Sisi bado tunagawa.
View attachment 1302319
Sent from my iPhone using JamiiForums
Khaaaah!! Unalike vipi kitu hujaona au hujasoma!!! Kama tusi?
Lazima nione, kunitukana hakuniharibii siku. Ila majoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wewe kama umetukanwa unataka uone,, kwanza kutokuona si ndiyo vizuri unaepuka mambo mengi maana unaweza jipata umeharibiwa siku yako hivi hivi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnagawiana wenyewe tu[emoji848][emoji848]