Jael tunaomba rudia please [emoji85][emoji1476][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Oooh!! Hapo sawa. Nikajua ndio waamka, wakata mning'inio.
Kwahiyo huendi kuhesabiwa jamani?Sinaga mining’nio labda ninywe beer, au ni mix, still hustling sijui kama moshi kunaendeka tena View attachment 1302256
View attachment 1302210leo baridi limetustahi
Nirudie nini mpendwa?Jael tunaomba rudia please [emoji85][emoji1476][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Narudi MjiniView attachment 1302210leo baridi limetustahi
Ndio leo meijaribu, sikujua hiyo mint ni pipi kifua[emoji134][emoji134][emoji134]Hivi mnawezaje kula choc yenyewe iko na mint!!!
Hao wakavu waungwe vizuri na mchuzi mzitoo wa nazi, na kamlenda na kaugali ka dona kalikochanganywa na muhogo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Am hurt[emoji24][emoji24]Lol umechelewa kusema bana.
Kwahiyo huendi kuhesabiwa jamani?
Okey, pole na hongera kwa majukumu.Labda mwaka mpya aisee nikasherehekee huko
Nirudie nini mpendwa?
Mbona uliiona maana niliona like yako[emoji848][emoji848][emoji848]Ile uliyoitoa muda is mrefu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hebu tushtuane basi ikifika jumanne