Pole sana mkuu.. mm hua nalala saa 9 ila saa 12 na 20dk usingizi kwisha. Nikilala saa 4 basi saa 9 usiku lazima usingizi uwe umeisha hvo nabaki nasota tu kwenye mkeka wangu