We
Hawachi si umeitwa mbona umejikausha?? Siku nyingine ukiitwa mbona huwa unakuja mbio leo vipi!! nasubiri vocha yangu ya buku,, TTCL hapa na ukizidi kuchelewa inaongezeka inakuwa ya buku mbili..
Ila daah hadi mie nimeshituka
joanah kuweka picha mwee hatimaye,, hakika huo ni mwanzo mzuri sana..
Sent using
Jamii Forums mobile app