Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,413
- 95,882
Nakaona hapa ,kanaharibu pozi ,hapa kwa Mangi sitoki mpk ikate
[emoji1][emoji1][emoji1]Yan hapa nawaza mpira nimpe kipa ama refa apige filimbi tu aondoke na mpira wakeCc Salhat umemuachia baba paroko hahahaha
Maana hilo bungo duh!!!
Nawe pia mdau??? Hahahahahah
πππππππππππ
Safi
Ohoooooo[emoji1][emoji1][emoji1]Yan hapa nawaza mpira nimpe kipa ama refa apige filimbi tu aondoke na mpira wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinifanyie hivi jamani[emoji1][emoji1][emoji1]Yan hapa nawaza mpira nimpe kipa ama refa apige filimbi tu aondoke na mpira wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nenda ukapige vitu vyakoSafi
MTC | 101| [emoji769]
Safari ya Pemba unayo basi
ππππππ
Niende wapi sasa Sheikh, ngalawa, gymkhana /maisala au bwawani hotelMkuu nenda ukapige vitu vyako
Nilikosa
Nimeghairi
Kwani pombe za Dar na Arusha ndo hizi hizi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mwenzangu toa code uko wapi ? Nina Visa ya kutosha
MTC | 101| [emoji769]