Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Nyie nae acheni kumuweka majaribuni[emoji23]
Kumbeee basi endeleeni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahah mlevi mmoja alijimwambafai hapa kua hayumbishwi na jinsia yenu..wacha tumkalie kooni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji7][emoji7]Jioni njema View attachment 1297322
Unaachaje kujibu vidole kama hvo mkuuKwa hyo hivyo vidole vya mtoto hata akija piem humjibu mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbeee basi endeleeni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umemuona bibie leo kajiachia balaa leo.Safari nimeziacha mkuu....nilienda bar moja nikaagiza safari kuna wateja walikua wamekaa pembeni wakachukua simu zao zilizokua juu ya meza wakaweka mfukoni...walijua kibaka kaingia kisa nakula safari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ujasiri sasa
Jamani wakazi wa Daslam trh24 nitakuwa Ubungo, mje kunipokea jamani nikawasaidie maandalizi ya x.mass. Bwana awabariki mnapojiandaa kunipokea.
Usiusemee moyo jamani. Sisi wanaume mnatubadilisha kwa vitu vidogo sana. Hasa ukiwa uko vizuri kwa bed, ndio akili huturukaSi kweli huyo amekubuhu mtu huyo hawezi badilika[emoji3]