Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Mtoto utamkosa huyu ujue
Mtoto utamkosa huyu ujue
Hahahaahahah. Halafu ndugu sijakutumia namba ile duh
Hahahah ila na wew hembu weka hata mguu sasa ili ashindwe hata kunywa k vant leo
Sent using Jamii Forums mobile app
sitaki kumtenganisha na rafiki yake wa ukweli 

😛😛😛😛😛😛😛Shem kwani mimi sikukufadhili jamani![]()
Kumbe vidole vya pete huwa vinakuwa hivyo
Kazi mpaka february tena,nje mvua siku ya tatu mfululizo, ndani nipo alone,chaneli View attachment 1297422View attachment 1297423zote nimemaliza,kwa kifupi nipo very bored.
Hahahahahaahhaahahahahahah
Sio majaribuni, ujue vile vidole kama tutaamua kuviongelea basi tutaingia matatizoni usiku huu huuNyie nae acheni kumuweka majaribuni![]()
Umechelewa kujibu ngoja nimalizie dinner
Kwahiyo hutojali sisi tukiendelea???😎😎😎😎
MmhUsiusemee moyo jamani. Sisi wanaume mnatubadilisha kwa vitu vidogo sana. Hasa ukiwa uko vizuri kwa bed, ndio akili huturuka
sidhani
Ila kweli sie tuna nguvu ya ziada tukiamuaOhhhhh
Wewe yasikie tu
Hapa sasa umenena.Ila kweli sie tuna nguvu ya ziada tukiamua
We naweSio majaribuni, ujue vile vidole kama tutaamua kuviongelea basi tutaingia matatizoni usiku huu huu

