huyo comments zake kazisome kupitia profile yake tu,, maana haelewekagi jukwaa lipi ni pendwa kwake yeye majukwaa yote anapita anatembeza like tu hanaga kijiwe maalum cha kusema utamkuta anapiga soga..
Hahahaha Saint anne ni kiumbe mmoja hivi anayejiita shabiki namba moja wa Liverpool ambaye hamjui kocha wala mchezaji hata mmoja katika hiyo timu achilia mbali kukupangia first eleven tu,, na hapo bado haujamuambia akutajie kikosi kizima ndiyo kabisa unakuwa umempoteza pangoni.. lakini naye ni shabiki