[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah wapi
Kama hii yangu dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si unaelewa mamaangu wengine tulivyo na sura za kudaia madeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Abeee Shem!!
Nakazia mimiTatizo JF mtu akikutokea usiishie kuwaza kuhusu kutokewa tu,, watu wako kazini humu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiwooo
Acha tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si unaelewa mamaangu wengine tulivyo na sura za kudaia madeni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli ako na sauti tamu kama ya Eli79
Njoo unichukue mkwe...Mkwe utoke tu huko kwa waswahili, wananiharibia mkwe haki tena[emoji134][emoji134]
Mkwe kumbe unajua, sasa ulikuwa unashangaa nini?
Nikapiga akapokea mkaka ana sauti ya kiume tamuuuu, hadi nimetamani shida isiishe [emoji85][emoji85]
Usione wivu [emoji39][emoji39]
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji848][emoji848][emoji848]
Acha tu.
Wakitaka ukope anatumwa huyo mkaka, wakati wa kudaiwa ndio tunatumwa sisi sasa. Lazima ulipe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiombe samahani mkuu!![emoji3059][emoji3059][emoji3059]
just tryin to play Jael's game [emoji73]....nothin aint true