Selfika na JF: Snap it. Show it

kabisa,, mwalimu wangu wa hesabu a level ndiyo kabisa hakuwahi kuliona daftari langu hadi tunamaliza shule halafu alikuwaga mpole masikini hata kuchapa hajawahi..

Siku hiyo anarudisha madaftari darasa limetulia kimya ghafla akaniuliza "halafu E daftari lako liko wapi mbona sijawahi kuliona tangu nianze kuwafundisha" darasa zima lilicheka
yaani aliongea kwa masikitiko hadi nilimuonea huruma jamani

Kumbe eeehhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…