Masaa mawili Changombe mpaka leo bado naisikia harufu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiona neno Police station ghafla naanza kusikia harufu ya mkojo,jasho,joto la tule tuvyumba vyao.
Wewe unaonekana ni polisi tu kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana chezea
Masaa mawili Changombe mpaka leo bado naisikia harufu.
Na Hela ndogondogo nachukua siachi hata senti
Cc Smart911 View attachment 1294911
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni raia mwema kabisaaWewe unaonekana ni polisi tu kwanza.
Sikupendi pia...wewe tu nini!!! Nasema mi sikupendi tena[emoji41]
Kulikoni jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh pole sana,, mimi nilishalala sitakishari pale..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Hela ndogondogo nachukua siachi hata senti
Cc Smart911 View attachment 1294911
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaKuna mdada ananisumbua kichwa sana nampenda ila hapendeki niuzie kifurushi chote hicho nataka kumrudisha
[emoji3166][emoji3166] Depal karibu tupige tarumbetaView attachment 1294931
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh pole sana,, mimi nilishalala sitakishari pale..
Sent using Jamii Forums mobile app
hongo maana yake ni zawadi na zawadi ya kuhongwa haichaguliwagi. Uko sawa kabisa.Japo ya kuhongwa siwez kataaa jaman usawa huu gari ya million 17 na ushee ukikataa wewe mchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga ndio chuma zao hizo πππUna utani na wachaga?