Ndo nabreakfast mimi...View attachment 1294897
Pole sana
Hapa ndio ulipiga picha ile usiku?
Kwenye juice ya pasheni😋😋Juice man made pia inapatikana
Ya parachichi na pasheni pia kuna ya tikiti maji parachichi pasheni karoti bila kusahau ka radha ka tangawizi na mdalasin kwa mbaaaliii [emoji2][emoji2]
Cc Smart911 View attachment 1294900
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdada ananisumbua kichwa sana nampenda ila hapendeki niuzie kifurushi chote hicho nataka kumrudisha
Kwema kabisaa kaka!
Asante jamani dear!Pole sana
Roho mtakatifu ametoa emoj na kusema kinyume chake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni huyo mama hapo niko na mwanangu,, halafu wewe unapenda kuona za wenzio tu ila zako hautaki tuone haya nakuja kule tutumiane mkono kwa mkono..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee
Na ice cream kawaida na za maziwa piaKwenye juice ya pasheni[emoji39][emoji39]
Pole mpenzi
Roho mtakatifu ametoa emoj na kusema kinyume chake.
Nikiona neno Police station ghafla naanza kusikia harufu ya mkojo,jasho,joto la tule tuvyumba vyao.
Nikiona neno Police station ghafla naanza kusikia harufu ya mkojo,jasho,joto la tule tuvyumba vyao.