ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,394
- 51,375
Bro mpo pungufu uwanjani wengine ni wazee na mvii kwenye mpubu ila majungu sasa 🙌🏼Ndio hao wanaoleta bifu na wanawake alafu akiitwa shingingi Linalovaa jeans na lenyewe Lina mind?.
Noma ila mkiambiana ukweli kama hivi nadhani mambo yatakaa sawaTuliobaki ni lazima tukaze maana tupo pungufu dada yangu. Wanaume wa siku hizi wamejaa majungu utadhani khamisi mkalia kigogo😂
Sherehe ni nyingi, Mungu anisaidie leo nisitafute sifa za kijinga kwenye kutunza..!! 😹😹Watu wa kariakoo sherehe Kila siku
Okay shemejiOh shemeji mda ule nilikuwa road nadrive nilikuwa nashindwa kutype.
Ndo michezo yake hiyo kuripoti..!! 😹😹Oh shemeji soon Nakwenda kula ban , Jamaa Kani report kwa mods😅, endapo msipo niona humu mpeni salamu zangu mke wangu.
Bora uje jumamosi anazak aunt mshunu wako ana graduu ya kufinish pre_unit umtunzeSherehe ni nyingi, Mungu anisaidie leo nisitafute sifa za kijinga kwenye kutunza..!! 😹😹
Kuna winga mwenzetu kafungua duka sinza tunaenda kumsapoti..!! Njoo kuna kigoma wajomba nao wapo leleee 😹😹Wapi huko nikusindikize uduguu. 😂😂😂
Mshamba na mikakati yake😅Ndo michezo yake hiyo kuripoti..!! 😹😹
Usijibizane na mashangingi shemeji usije kupigwa ban bure..!! 😹😹Mashangingi wengine bhana, ugomvi wa Maneno aanzishe yeye na Bado yeye ndie anayekuwa wa kwanza kwenda kukushitaki kwa mods upigwe ban!😅
Sawa, ngoja nibaki mtulivu. Shemeji yangu!Usijibizane na mashangingi shemeji usije kupigwa ban bure..!! 😹😹
mtoto anataka pich yako wew na spidernyoka ili asinzie😎😎😎Nipo hapa
Nipe habariiiiii😍
Auntie mshunuu wangu ana graduate jamani 😍😍🔥🔥Bora uje jumamosi anazak aunt mshunu wako ana graduu ya kufinish pre_unit umtunze
Irudiwe🐒umechelewa mods wameifuta😄
Ngoja aone leo ya uncle yake spidernyokamtoto anataka pich yako wew na spidernyoka ili asinzie😎😎😎
Tupia pic Shem wangu muhanshamu..!!Sawa, ngoja nibaki mtulivu. Shemeji yangu!
Niko winja winja, tunaenda na vigoma kurusha roho huko skuli.Auntie mshunuu wangu ana graduate jamani 😍😍🔥🔥
Salon kashaenda kutengeneza nywele?
Nipe location nimletee zawadi, nakuja na ile midoli mikubwa inayocheza special for yeye..!!
Auntie naingia na matashtiti 😹😹
cocastic nipe kampani twende tukawachachue huko skonga…!!
anataka na ya aunt yake a.k.a pacha ake jihani💃😅Ngoja aone leo ya uncle yake spidernyoka
aunt mtu unaswampa sana imekaa mda mrefu sana,ujueIrudiwe🐒