Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndezi kweli!! Katoka huko alikutoka na ukuma wake ananiletea! Watu kama hawa ndio hua nawateka mtaani Mimi alafu namaliza nao.
Chino unaowateka unawaambia โ€œchagua bega?โ€ ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Unamalizana nao kivipi huko maghetoni?
 
Kama jukwaa lako ni sawa nitafanya hivyo..!!

Nimekwambia usinitishe, halafu mbona huna jipya..!! Unitafutie ban wewe kama nani?

Umbea unaupenda ndiomana huishi kuufatilia, tuendelee tu kupiga umbea..!!
Nimeshakuambia nitakuvuruga... endelea...
 
Tumekua tusha acha uhuni ila watu kama hawa nisha deal nao sana kitaani!

Usenge kama huu uniletee mtaani nakuona! Hua na avoid sana ugomvi kwa sababu najijua.

Anaona hapa nacheka Cheka na nyie basi ananichukulia ndezi
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Leo umenichekesha sana!!
Nakuonaga mpole kumbe muhuni flani hivi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ