Yule tajiri wa vocha selfika ilikuwaje kuwaje akaacha ndala humu! Kwenye seke seke lile haukuwemo kweliππππ Chino kwani unanichukuliaje mie? Si wangeshavujisha kitamboooo.
Nasemaje ubuyu wangu humu nitawaletea mwenyewe.
ππππ
Umeenda wapi tenaNasubiri nimekaa kwa utuo
Nipo ba mtuUmeenda wapi tena
Nimefurahi ulivoniita!!Nipo ba mtu
πΉπΉπΉ Watajua kweli waanze kukufata uwape connection za LamomyMchuchu una bahati wewe! Una lichino halijui hata kutangaza; jipige kifua hebu
Yule napenda kumzingua apandishe mashetani yake πΉπΉπ€£π€£π€£kwanini umharibie uzi wake
Miongoni mwa vitu navovilinda kwa wivu mkubwa basi ni wewe!!πΉπΉπΉ Watajua kweli waanze kukufata uwape connection za Lamomy
πΉπΉπΉπΉMziki wa Manengelo ulikua ni wa π₯π₯π₯
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,
Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
ππππ Alooooooh.
πΉπΉπΉ Yani mi niwe Demiss?Nilikuwag namfananisha lamomy na Demis sanaaaaa ila kumbe watu tofauti..
Nikipata file lake namtupia mwenyewe alisome then tujue tunapindua vipi meza..!! πΉπΉπΉWe mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu
Uwe na file la coca utulie wewee πΉπΉπΉFaili lake ninalo...
Yani wewe mwanaume inabidi awe down sana nahisi walau kidogo anaweza pata attention yakoπΉπΉπΉ Mahusiano kwanza yalishnishinda, siwezi kubembeleza..!!
Basi usiweke πNimefurahi ulivoniita!!
Uwe unaniita ivi ivi basi
Naked au emoj
πΉπΉπΉπΉ Na wakaka wa humu wako chap kushusha pdf wakitoka kutafuna mizigo..!!Ndio nilikua nasema huko juu humu ukiliwa acha sifa kaa kwa kutulia tu maana watu wa jf vichwa vyao wanavijua waol
πΉπΉπΉ Sema kweli?Miongoni mwa vitu navovilinda kwa wivu mkubwa basi ni wewe!!
Sema kiko kitoto kijanja sana hicho.Nikipata file lake namtupia mwenyewe alisome then tujue tunapindua vipi meza..!! πΉπΉπΉ
Mjomba Ai lazima asingiziwe πΉ
πΉπΉπΉ Mi jeuri na nna dharau ndo tatizo langu kubwa..!!Yani wewe mwanaume inabidi awe down sana nahisi walau kidogo anaweza pata attention yako
JF mwenyewe ukiwa mjinga unaingia kwenye mfumo wa wakora..!!Sema kiko kitoto kijanja sana hicho.
Wangekua wameshakiingiza kwenye mfumo!!