HaelewekiYule nae amechange Id au yupo jumba jeupe
hahahahaha, dah kazi unyoSiendani naye kwa lolote, kwanza namtamani arudi nimfanyie cross-examination..!! πΉ
Natamani kuifufua kesi yake, inaonekana alikuwa machachari sana humu jukwaani..!! πΉπΉ
Nataka nijue aliweza kumpenda vipi ankali wangu mshana na uchawi wake?
Ujue wakongwe kuna vitu navitaka sana kwao..!!
Siku moja demiss ajizime data arudi, mashabiki zake wanamuhitaji na akirudi mi naunga naye urafiki..!! πΉ
Nikupe nnYako iko wapi πnipe nilale sasa
Papaaa kipindi kile ulisema darasa tunaanza December π€Njoo nikufundishe Lingala mtoto mzuri, mtoto mzuri kama wewe unatakiwa ujue Lingala. π
Bila bilabado ipo hebu nawa uso urudi kuzoom vizuriππ
Papaaa kipindi kile ulisema darasa tunaanza December π€
Basiiii kuna nini tena π€π€Ndio. π
Basiiii kuna nini tena π€π€
Sio mbali papaaaa pedejeeeee π€π€Kwani December ni mbali?
Mimi nimeanza kupiga nyimbo za Noel/Xmass. Hapa nasikiliza Pere Noel De Confiance ya Bozi Boziana.
Sio mbali papaaaa pedejeeeee π€π€
Enjoy nikumbushe Boxing day nikupe zawadi
ehe nipeni mrejesho je mlifikia wapi?πΉπΉkweli anayatafutia mbali
Ila Chivundu lol πAsante. Wakati unanipa zawadi, tutakuwa wote au utakuwa peke yako? π
Ila Chivundu lol π
Nitakupaje sasa nikiwa peke angu au nitakutumia na bolt sioπ π
Siye jana nlimuona vizuri huyu ni miss alaf twigaehe nipeni mrejesho je mlifikia wapi?
spidernyoka huyu mallerina ni koloni lako la kitambo au ulikoswa ushahidiπ π
π π tutakutana fasi moya nikupee zawadi yako papaaSawa, zawadi nzuri ni ile mnapeana mko wawili. π
π π tutakutana fasi moya nikupee zawadi yako papaa
Unapenda nya kunyonga au kuchinja papa pedesheeeee
Hebu pita tena swahiba wangukuja tumisuwane
π π tulia papaaNieleweshe, una maana gani?,