Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,420
- 104,233
Yupo, sema kitambo hajapost 😹Yumo.humu bado au😹😹😹
Au upo na id hii kwanza ile umeipumzisha? 😜
Yupo, sema kitambo hajapost 😹Yumo.humu bado au😹😹😹
Sasa 2020 imekaaa muda mrefu😹😹wa 2011 watasemaje sasaNa mimi niibwage hiii sasa imeshakaa sana
Nikirudi naenda kama muuza magari mkubwa ArushaNa mimi niibwage nirudi kivingine, sema mtanijua tu! 😹😹
Sio mimi hyo kabisaYupo, sema kitambo hajapost 😹
Au upo na id hii kwanza ile umeipumzisha? 😜
Malle we sio mgeni hiyo ni uhakika hundree percee 😹😹Duh 😁kwanini unasema mimi sio mgeni humu
Ukiambiwa we mkongwe hutakiSasa 2020 imekaaa muda mrefu😹😹wa 2011 watasemaje sasa
Hela ndo sina sasa atakula niniSio mimi hyo kabisa
Huyo alikula hela za spider 🤣🤣🤣🤣
We huoni alivokua anapunch vtuMalle we sio mgeni hiyo ni uhakika hundree percee 😹😹
Yani hii Id nilifungua 2023. nilivyojiunga nilikuwa sijui jf vizuri nikaiacha ndo nimeichukua last year kuanza rasmi😹😹Malle we sio mgeni hiyo ni uhakika hundree percee 😹😹
Uongo huoYani hii Id nilifungua 2023. nilivyojiunga nilikuwa sijui jf vizuri nikaiacha ndo nimeichukua last year kuanza rasmi😹😹
Hela 😹izo chenji atakula piaHela ndo sina sasa atakula nini
Yani nawaambia ukwli wa YesuUongo huo
Hata chenji sinaHela 😹izo chenji tu
Kuna kichaa mmoja alinitongoza pm kwa id tatu tofauti na zote nilimkataa, alipokuja na ya nne ikabidi nimwambie acha ujinga wewe ni fulani likabaki linacheka..!! Eti “Unajifanya sungura eehh.!” 😹😹😹Nikirudi naenda kama muuza magari mkubwa Arusha
Vitu gani🤣🤣We huoni alivokua anapunch vtu
😹😹sasa hamniamini mtamuamini nani ?Kuna kichaa mmoja alinitongoza pm kwa id tatu tofauti na zote nilimkataa, alipokuja na ya nne ikabidi nimwambie acha ujinga wewe ni fulani likabaki linacheka..!! Eti “Unajifanya sungura eehh.!” 😹😹😹
Sasa wewe rudi VAR tukukamate km ulivyomnasa Malle 😹
Ukamlipe spider pesa zake na kashatua bongo 😹😹Sio mimi hyo kabisa
Huyo alikula hela za spider 🤣🤣🤣🤣
Nakuja kama msomali mtanikamatia wapiKuna kichaa mmoja alinitongoza pm kwa id tatu tofauti na zote nilimkataa, alipokuja na ya nne ikabidi nimwambie acha ujinga wewe ni fulani likabaki linacheka..!! Eti “Unajifanya sungura eehh.!” 😹😹😹
Sasa wewe rudi VAR tukukamate km ulivyomnasa Malle 😹
Sio wewe kweli nmeaminiVitu gani🤣🤣
Kwli muulize Melo usikie😹Yani hii Id nilifungua 2023. nilivyojiunga nilikuwa sijui jf vizuri nikaiacha ndo nimeichukua last year kuanza rasmi😹😹