Selfika na JF: Snap it. Show it

Awwwww mzuri bana 😍😍
Umewazidi ndiomana wanaweweseka..!!

Huyo chivundu kumbe mnaa naye? 😹
Sasa mbona watachoka wao maana trotro umesusiwa kuanzia sura mpaka kichuguu..!!

Huna kitambi mtepeto cha uzazi, kazi imenyooka hivi πŸ‘†
 
Wewe tena kwa kusifu huna mpinzani aiseeeee lol πŸ˜†

Huyu mtu wa Kongo Chivundu ni rafiki yangu mzuri tu si unajua ni rafiki wa wote mie na mtania tu maa🀣🀣
 

Sio sioni. Nimeona, sema unaziba sana, hatuoni vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…