Selfika na JF: Snap it. Show it

Kaka hadi wewe umeingia kwenye mkumbo wa Lamomy

Ujue wewe ni rafiki kitambo 😊
Enzi avatar umeweka yule mtu amevaa suti

Sio kwemye mkumbo, "kichunguu" unacho kweli.
Kuhusu avatar; yule ni jamaa yangu anaitwa side mnyamwezi. Ndio mwenye picha ile. 😊
 
Kichuguuu hichoooo wale wa masjala wahini upesii🀣🀣🀣
Mashallah 😍
Mtoto Una lips za kufyonzwa weyeee..!!
Kasura kazuri afu ka pliz babe kiss me..!πŸ”₯

Sio mtu msura umejaa km sinia la wali wa arobaini..!! 😹😹

Hapo shem lazima adinde muda wote..!!
Kapachino kazi unayo mwaka huu huchomoki..!! 😹
 
Miti ya kwenye ndoa nasikia non stop mna mpaka morning glory na midnight heavy 😹😹
Na hakuna kuvaa chupi nyie ndani kama mpo zama za mawe..!!

Waongo, labda ndoa ikiwa changa, mnabaki mazoea tuu. Mungu aliuumba mazoea na kukinai. Mkishakua "mwili mmoja" inabaki mazoea tuu.
 
Umeona lips ila unaongelea mpaka sura 🀣🀣
Ila kweli bana lips πŸ’‹ ninazo bana weee πŸ€—

Mbona shem 😊
Halafu Chivundu kwenye matukio kama haya hua anajifanya haoni 🀣🀣 lol

Na najua yupo kundi lileeeee
Na sifuti haraka wana masjala watunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…