The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 923
- 1,886
Mimi ni mume wa mtu unajua?!😅Njoo kwangu🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi ni mume wa mtu unajua?!😅Njoo kwangu🤣🤣🤣🤣🤣
😹😹😹😹😹staki stakiTumeshasema mumeo ndio huyu Ntiluseswa na huna Cha kufanya.
Yako iko wapi?!chatin na picha😊
😁😁😁mume wa mtu mtamu 😹😹🔥🔥🔥🔥Mimi ni mume wa mtu unajua?!😅
Usije kunigombanisha na mke wangu tafadhali sana😅🙏😁😁😁mume wa mtu mtamu 😹😹🔥🔥🔥🔥
Ngoja tumuambie aache kuona wanaume kama bidhaa sokoni za kuchagua chagua. Umri Unaenda na Miaka hairudi nyuma.
si ndio msweet msweet❣❣❣,, tupia ka kumalizia j moc😍Ayayayaaaaaa😍my fine baby is back🥳🥳🥳🥳🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🩷😍🌼
angalia vizuri huko juu utaionaYako iko wapi?!
Mke mmoja michepuko kwa wingi😹😹🔥🔥🔥 ndo habari ya mjini🤣Usije kunigombanisha na mke wangu tafadhali sana😅🙏
Kwanin mnaona ananifaaaa😹
🤣🤣🤣nyinyi kweli hamnijali kabisaNi kweli mkuu. Machaguzi mengi.
Anza ww 😍😍😍🥳we ndo umepotea humusi ndio msweet msweet❣❣❣,, tupia ka kumalizia j moc😍
😹kila mtu atengeneze yake kwa dunia ya sasaAnakufaa, mtengeneze maisha.
Intuition tu😹zimekataaaSasa wewe umejuaje kama sio bora na hujampa nafasi?
🤣🤣🤣nyinyi kweli hamnijali kabisa
😹kila mtu atengeneze yake kwa dunia ya sasa
Intuition tu😹zimekataaa
nipo mwingi mnoo, ngoja nikutafutie TBT enzi za usichana wangu😄😄Anza ww 😍😍😍🥳we ndo umepotea humu
🤣🤣🤣yani msinifanye niongee vibayaKukujali ni pamoja na kutaka wewe upate mume, mjenge maisha. 😊