Mi nna macho makali, umepita mule mule kwa founderTypically kama Founder kabisa πππ
Naandika jamii intelligence uzi hauendi hewani mpaka upitiwe na moderator so sometimes wanachelewa kuachia hewani kwa usiku huu sidhaniUkimaliza tutag balaa lihamie huko huko
Na uzuri kitambi sina mahi π€£π€£ Alhamdulillah basi tu sitakiiiiiiWeka mzigo hivyo hivyo si hatuangalii kitambi tunadeal na kichuguu tu! πΉ
Sa itakuwaje ukinimalizia!! Hapa tu ndo ivoπΉπΉπΉ Stakiiii lazima nikubadilishie mganga..!
sina kichuguu π₯
Wewe na bebi wako mmezidi lol πLakienyeji!! Ni lizuri Mimi nikionaga mtu ana discuss vitu vigumu najua kabisa ni kina tulia ackson. Ila huyu shes kashindikana! Ile beautiful with brain maana yake halisi ni huyu mtoto
Wewe na bebi wako mmezidi lol π
Umenikumbusha kuna mtu anasema mie lazima nina miaka 40+ lol sijui naonekanaje yaan ππΌ
Nitupie nini chinoπ€£Tupia bana shemelaa
Naomba umpitishe tu ShesRise_1 ukisafiri huko kwa kina Donyen awe ana kuwasilisha tuToto limeenda kidato limebukua oohh..!! πΉ
Nyuma kichuguu km kigoda..!!
Kwani muandiko wangu ni waki utu uzima sana papaaπ€£Anachuki na wewe, we Gen-Z kabisa..
Unajiamulia mambo nina sura ya baba ohoooπ€£π€£Naomba umpitishe tu ShesRise_1 ukisafiri huko kwa kina Donyen awe ana kuwasilisha tu
Kwani muandiko wangu ni waki utu uzima sana papaaπ€£
ExactlyNi hisia tuu, JF kila mtu na hisia zake. Kikubwa ni kuheshimu hisia za watu.
Mwambie aje selfika akutane na upande wako wa pili.Wewe na bebi wako mmezidi lol π
Umenikumbusha kuna mtu anasema mie lazima nina miaka 40+ lol sijui naonekanaje yaan ππΌ
Kuna siku niliona jicho weweUnajiamulia mambo nina sura ya baba ohoooπ€£π€£
Kwenye uzi wangu wa birthday mtu aliuliza una miaka mi ngap nikamuambia naitafuta 30 bado ngazi chache hakuaminiMwambie aje selfika akutane na upande wako wa pili.
Ni vile upo kwenye mada ngumu afu Kuna namna unavyoflow mtu anaweza hisi mdada flan sababu watoto wa elfu mbili ni ngumu mnon kuwakuta kwenye mijadala mitambuka kama unayoifanya wewe, wengi utawakita huko kwa kina worldmissgrand
Usinigombanishe chinoπ€£Akupitishe tu naona ananichelewesha kabisa