Morocco ya magomeni πΉπΉInategemea wakuu huu mji mkubwa ππ
Muda si mrefu nimepita Morroco ama hiyo tunaiitaje ShesRise_1
Nenda kwenye uzi wake ukachekeBaaasii kuna nini tena π
Nenda kwenye uzi wake upitie comment ucheke πΉπΉπΉπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Chiwawa ma min me wana ndugu zao wengi humu jamani. Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Ndio shida za kuanzisha anzisha nyuzi kila wakati bila hata kuwa na vya maana ili mradi tu nawe uwe relevant humu ndani. Sasa wanaumbuka
Upo wapNenda kwenye uzi wake ukacheke
Ngoja nikutagUpo wap
SawaaNgoja nikutag
Huyo ni grandma. Siyo wifi.Mbona wifi umemficha kaka nyani?
π€£π€£π€£ yaleyale ya mtu kusema yuko mambele halafu mtandao unazimwa wote tunapoteaπ€£π€£π€£Nenda kwenye uzi wake upitie comment ucheke πΉπΉπΉ
Alivyo mkavu kakataa katakata hajawahi kusema yuko USA na ushahidi kaniomba πΉπΉ
Kumbe kasahau na uzi alianzisha mwenyewe mwaka huu..!! πΉ
Mimi nipo kibiriziWazee wa abroad πΉ
Mpe hi mwanangu sana red black
Fresh tuKuna yule mwenzie sitaki kumtaja wanadai wapo ulaya lakini characters ni za yombo kwa limboaππ
Mwenzio yupo manhattan πΉMimi nipo kibirizi
Ndo ya huyo mwingine wa USA πΉπΉπ€£π€£π€£ yaleyale ya mtu kusema yuko mambele halafu mtandao unazimwa wote tunapoteaπ€£π€£π€£
Okay, tupia basi pic yako..!!Huyo ni grandma. Siyo wifi.
Ahahaaaa. Kumbe unapenda ndevu eeh.Okay, tupia basi pic yako..!!
Nimemiss kuona zile ndevu π
Hakuna fresh imechacha banaFresh tu
πππππ
Nimekubambaπππππ
Nyani njoo unikiss una midomo mizuri ππ₯
Hizo ndevu jamaani mi hoi π₯°
Hizi lips zinatakiwa zikutane na hizi
π€£π€£πππππ
Nyani njoo unikiss una midomo mizuri ππ₯
Hizo ndevu jamaani mi hoi π₯°
Hizi lips zinatakiwa zikutane na hizi