min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,706
- 175,715
Ngoja nilewe vizuri 😅Mbona hujiamini kijana? 😹
Unafuta fasta unawahi wapi?
Ngoja nilewe vizuri 😅Mbona hujiamini kijana? 😹
Unafuta fasta unawahi wapi?
Hapo kwenye u classic hapo… rabhekaaaa 😹
Hivi hujawahi kunifumania kumbe?
Sasa zile pic mnazosambaziana huko pm za kina nani? 😹😹😹
Nitatupia mama kaa kwa password usipepese machoTupia kichuguu maaa utetemeshe server kwanza 😹
Pic yangu hujapewa? 😹😹Kuna mandezi wawili watatu ndio wanavuruga aman ya selfika.
Mm pia Nilitumiwa picha za wadada watatu , eti kama nawataka wanipe connection 😊😊😊😊.
Nikampuuza aliyenitumia.
Ni id mpya.
IgweeeeeeeeeeeeeeeeNitatupia mama kaa kwa password usipepese macho
Ya kwako hapana.Pic yangu hujapewa? 😹😹
Tunawajua hao vivuruge wanaosambaza pic za wadada ndio hao hao wako mstari wa mbele kuponda kwenye nyuzi zao..!!
Yote wadada wamegoma kuwapa attention
Baaasiiiiii kuna nini tena 🤣Igweeeeeeeeeeeeeeee
Akili za bange hizi!Watu wanafaidi
Haya nawe tublessMali safi. Haya ndio mambo. 😊
Ya arAkili za bange hizi!
Hao nawaona vichaa, haya selfika broYa kwako hapana.
ni kuwapuuza tu. Sio big deal wala nn.
Kichuguu mama kizingatiwe puliizzz 😍Baaasiiiiii kuna nini tena 🤣
Unataka sehemu gani ya mwili
I wonder 🤣🤣Hatimae nimeuona uzi wa chiwawa na yule kaka yake mwenye matatizo ya akili.
Sasa mbona sizioni picha?
Kaka yake chatungi 😹😹Hatimae nimeuona uzi wa chiwawa na yule kaka yake mwenye matatizo ya akili.
Sasa mbona sizioni picha?
Unavyonisifia hivi utapigwa mawe wanasema haiwezekani 🤣🤣Kichuguu mama kizingatiwe puliizzz 😍
Watu mna minofu bana..!!
Kama haiwezekani wafanye wao kwa kuweka vichuguu vyao iwezekane..!! 😹😹Unavyonisifia hivi utapigwa mawe wanasema haiwezekani 🤣🤣