min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,706
- 175,720
Bwashee haya maisha yana mambo mengi ujue 😅Eti vikuku kishingo
Bwashee haya maisha yana mambo mengi ujue 😅Eti vikuku kishingo
Naelewa mnamaBwashee haya maisha yana mambo mengi ujue 😅
Bwashee haya maisha yana mambo mengi ujue 😅
Duh kumbe Mahondaw ndo wa mpto hivi? Hongera, you are beautiful.
Tule bia kwa wakati bwashee 😅Na mambo mengi ndio maisha yenyewe.
Asee kwa sasa unafki basi ,nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi tu Bwashee 😅Naelewa mnama
Pita acha maneno mengi, tena upite ukiwa na kisungura chako..!! 😹Nooo😅 kwmba unahisi ni kweli?😅
Weka picha tukuone chiwaEwe Mungu wa rehema umsamehe huyu binti maana hajui alitendalo.
Tule bia kwa wakati bwashee 😅
Hahahahaha😅😅 mimi kupita ni kugusa halafu sifuti😅Pita acha maneno mengi, tena upite ukiwa na kisungura chako..!! 😹
Mbona umeng'ang'ana nipite umetumwa ?Mallerina, ShesRise_1, ni zamu yenu sasa.
Pita sasa!Hahahahaha😅😅 mimi kupita ni kugusa halafu sifuti😅
😹😹😹 Anataka kukushindanisha..!!Mbona umeng'ang'ana nipite umetumwa ?
Kwa nini nidanganye 😅 ni lini nilishawadanganya😅Pita sasa!
Au unatafuta pic ya kutudanganyia? 😹
Mbona umeng'ang'ana nipite umetumwa ?
Anataka kunishindanisha na nani kwa mfano ?😹😹😹 Anataka kukushindanisha..!!
Bwashee nalipa kwa kunywa bia 10 kwa dakika 10 kila bia moja dakika moja 😅 ngoja nilog out😅Kwani siku zote niking'ang'ania upite nakua nimetumwa. Haya basi karibu bia.
Wewe kabla hata hujanipa mwenyewe najikubali 😹😹😹Kwanini wakati wewe nishakupa 9.5 kati ya 10. 😊