Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,570
- 55,130
Sawa shemeji😹😹😹 Huyo mtoto hana adabu, tutamfunda mi na coca awe na adabu..!
Sawa shemeji😹😹😹 Huyo mtoto hana adabu, tutamfunda mi na coca awe na adabu..!
Hujanikosea kuwa na amani weekend njemaSijue utanielewaje
Lakini mimi kama mwanamke sifurahishwi na bullying yoyote inayolenga gender yangu
Ndio maana wengine huniita Feminist
Lakini ukweli hakuna mtu mwenye haki ya kukosoa mwingine kwa muonekano ambao mtu binafsi hakushiriki katika uumbaji wake tunaweza kukosoana mitazamo au tabia
So Mtoto halali na hela niwie radhi kama nimekukwaza peace ✌️ and love ❤️
Nikuokotee mawe ?🤣Haya mama tupe kapicha sasa! 😊
Hao ni marijali sio wagonjwa, wagonjwa nyie mpaka mtazame porno.Wa kudinda hovyo ndio wagonjwa. Niamini.
Nikuokotee mawe ?🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sitaki hata kumsikia nimeitwa mzee
Mi nitakua na sup nyingi SITAKIII 😹Si ndio, waselfike sie kazi yetu kutoa maksi out of 10, kama course work za chuo tuu.
Nimemjibu hivyo hivyo ndio naona anakatiza saivi huku🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimejikuta nacheka kwanguvu weee 🦁🐒!
Si mnasema wazee ni hazina??
😹😹😹sie ww ulieyesema uzee ni Hazina😹😹Sitaki hata kumsikia nimeitwa mzee
😹😹😹😹😹Nimemjibu hivyo hivyo ndio naona anakatiza saivi huku
Nimesema ila ume mute kuonyesha ulichosema umemaanisha😹😹😹sie ww ulieyesema uzee ni Hazina😹😹
Basi sikupigi maweKwanini unipige mawe? 😊
Wewe yako iko wapi?Bwashee tupo rada tunatoa hitimisho na hatupendelei 😅
Hao ni marijali sio wagonjwa, wagonjwa nyie mpaka mtazame porno.
Wenzenu wakiona vichuguu tu kitu kimeinuka..!!
Khakhakhaaa.. naona hupendi kuzeeeka! Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Nimemjibu hivyo hivyo ndio naona anakatiza saivi huku
Me sitaki ndio😹Nimesema ila ume mute kuonyesha ulichosema umemaanisha
Unataka smart akutoe figoKhakhakhaaa.. naona hupendi kuzeeeka! Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Hebu nibless nikaangalie viazi vyangu visiungue kwanza!
Nyege unazo, tena wewe unazo za kuku kishingo 😹😹Kabisa , na sasa tupo majaji wa ukweli tusio na nyege za kijinga Bwashee 😅
Sawa kila la heri huko ulikopendaMe sitaki ndio😹
Mi nitakua na sup nyingi SITAKIII 😹