SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 231
- 447
Ewe Chica nibless nami5 yrs ago 😀
Ewe Chica nibless nami5 yrs ago 😀
Heaven gelo utalala ukiwa hoi binti 🙌🏼Atapumzika mbinguni, 😹
Huo mtraco hatareee 🔥🔥🔥
Upigwe frogyy afu ushikwe kiuno awwww 😹😹😹
Nimeonaa ila unajua kuzitunza, mbona wengine zinakua rangi ya Brown? Wee zako nyeusi na zinapendeza, unatunzaje?Umeona zilivyokuwa ndogo
Ana red card halafu anataka apewe namba uwanjani we muache ajimix tumkaange akatafute email mpya..!! 😹Yaan hatulii na hataki kupitwa kabisaa.
😂😂😂
Usinifananishe na Takataka tafadhaliChiwawa, mie usiniguse, waulize wenzio watakupa habari zangu. Wee km huna hela useme hapa tukuombee kwa mapedeshee, na uache kuwa ombaomba.
😂😂😂😂
Ulikua mdogo sana I think 😊5 yrs ago 😀
Yaan wewe ni me kubless kwa wema ujue dah🙌🏼🙌🏼🙆♀️Nime imagine wallah bwana ake anafaidi kuya slap, yanalia "pah pah pah"
😂😂😂😂😂
Swadaktaaa!! Mi mwenyewe nataka niliangushe hapa kwa Bed. Ushakua usiku mwingi.Shukran maa usiku mwema
Naona macho mazito kesho nayo siku
Aisee!Ana red card halafu anataka apewe namba uwanjani we muache ajimix tumkaange akatafute email mpya..!! 😹
King’amuzi tulia, tunajua jeuri huna..!!Kwa vikaragosi? Hapana aisee
Basi nimeachaa mahi, tukutane keshi siasani, tukakichafue.Yaan wewe ni me kubless kwa wema ujue dah🙌🏼🙌🏼🙆♀️
Hawa ndio walimwengu mdogo wangu aibu utaona weweYaan wewe ni me kubless kwa wema ujue dah🙌🏼🙌🏼🙆♀️
😂😂😂😂King’amuzi tulia, tunajua jeuri huna..!!
Ungekua unatazamika na misifa yako ungeshaweka komwe lako hapa..!!
Aisee, hatari sana. Ila naskia umejaaliwa mkia aisee mashalahKing’amuzi tulia, tunajua jeuri huna..!!
Ungekua unatazamika na misifa yako ungeshaweka komwe lako hapa..!!
Hebu tulia De Gunner huku umevamia mtumbwi wa VibwengoEwe Chica nibless nami
Tayar
Sawa mama tuwapelekee moto mboga mboga🔥🔥Basi nimeachaa mahi, tukutane keshi siasani, tukakichafue.
Nimevamia ndio, ila Nastahili nami kuipata neema ya uumbaji bwanaHebu tulia De Gunner huku umevamia mtumbwi wa Vibwengo
Najua habari unayo sasa, kacheze unako chezaga. Ukitaka nikupeleke mjini JF nakupeleka vizuri tu, na huwa situmii nguvu. Oooh.Usinifananishe na Takataka tafadhali