πΉπΉπΉ kijana kabarikiwaMbinguni utaona view once πΉπΉπΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ Atanitoa rohoNa Ulinzi uko wa kushatoo!! πππ
Ushindwee wee tu. Lol.
Kanionea bure kunishushuaKakushushua πΉπΉπΉ
Ni suala la muda lilikua..!!
Udugu wangu coca wala hakubisha anajua mi sinaga kazi mbovu..!!
Mje mniungishe waist chain πΉPita basi nikuone mahi uduguu. πππ
Siwezi kuvumilia πΉMie nikavunga, wee umeamua ulipue tu.
ππππ
Hajanijngiza chaka, ukweli ndo huo..!!Anakuingiza chaka
Anakujazaaa ujione umepatia
Kwani picha ya mtu kavaa suti km dark blue, kasimama ofisini ni wewe au chi?Check tena
πΉπΉπΉππππ unanichekesha mnoo, khaaah
ππππMi nitakua host, wewe mchokoza mada..!! πΉ
Si ndiooo, ππππKakushushua πΉπΉπΉ
Ni suala la muda lilikua..!!
Udugu wangu coca wala hakubisha anajua mi sinaga kazi mbovu..!!
Ile mi lip gloss itakubabua lips πΉπΉπ€£π€£π€£π€£π€£Acha zako lamomy
Wee em sema kwelii? πππKutuna ni kawaida, mama zetu wakiona pametuna hawatuambii ila wanafurahi vijana wao tuna mizigo. π
Uking'ang'ania jamboππΌππΌHajanijngiza chaka, ukweli ndo huo..!!
Uoga wako tu, πππππΉπΉπΉ Atanitoa roho
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£niletee wwIle mi lip gloss itakubabua lips πΉπΉ
Mwambie akome kukuletea..!!
We muache amuendekeze kama hajambabua lips na hizo lip gloss za salaula πΉπΉππππ ila Malle anapendaga kututafutia waja maneno, na mwenyewe kaweka kwa raha zake hana wasi wasi wala haogopii
Woiiiih.
Lamomy fanya vitu tupate mualikoPamoja na yoteee ,Ndoa ni baraka.View attachment 3692140
ππππππPamoja na yoteee ,Ndoa ni baraka.View attachment 3692140
πΉπΉπΉ hapo tutatoana rohoππππ nikimbie na kapu la sadaka lenyewe.