Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,488
- 54,967
Nataka hela upendo tutatumia wakeπΉπΉJamaa anakwambia nakupenda, unasema atie hela! Unataka kupendwa au anataka hela? π
Woyooooooooooo π₯π₯π₯
πΉπΉπΉ Napenda harakati zenu za kunipambania nipate bwana..!!ππππ umeanza fujooo sasa nawee.
Wala haina shidaNataka hela upendo tutatumia wakeπΉπΉ
Sema mi litanibana πΉπππ usijarii uje uchukue tu mahi.
π π umechukua mpaka ya u dalaliπππuduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.
Mwenzio nimejichanganya kwa jamaa wa magogoni na udugu kazingua, cha udalali nishakula, sijui narudishaje, mniombee naweza kuwa mteja wa Fwele boi mda wowote.
ππππ
Harakati zangu ni endelevu kibaya ninaowapambania wana mbwelambwela
Yule mshkaji kapotea kama upepo usikute labda ana tatizo π€
Wee Umepewa bure, mpe mwenzio bure πΉUsilete I love you tia helaaaaa tia helaaaaπ΅π΅
Mondy unyamaπ₯π₯
Wee nawe hilo li avatar la Zuma la kazi gani? Unaweza sema ni jibaba la kizee, kumbe kijana tu. KhaaahNikweli hiyo sehemu ni mbaya Kwa kweli ila ndio utafanyaje na mihangaiko ya Duniaπ
Na lazima upate tuu, ππππΉπΉπΉ Napenda harakati zenu za kunipambania nipate bwana..!!
πΉπΉshemeji yenu yupo mjueWee Umepewa bure, mpe mwenzio bure πΉ
Kwa nani papa pedeshee π€Napambanie na mie basi. π
Cha udalali nimekula tena kikubwa tuu,π π umechukua mpaka ya u dalali
Kheri mie najitolea tu π π
Ikishindikana sitaki lawama mie
Chivundu nitetee naweπΉbasi
Mwambie asi mindπΉπΉshemeji yenu yupo mjue
ππππ aaah wapiii!!Sema mi litanibana πΉ
Binti unamlia dhamani udugu wako una roho ya pakaCha udalali nimekula tena kikubwa tuu,
ππππ woiiiiih