spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,759
- 23,219
Btw JF imepoa nowdays nakumbuka yule jamaa eti akatoa location wakapiganeHupati kesi dada zako tupo tutapiga watu.
Nadhani hukuwepo JF kuna jamaa alimualika mwenzio uwanjani wapigane badala ya kugombana humu πππ»
Huyo huyo wa wiz wa Black and yellowAmba Rose yule wa enzi za akina Whiz Khalifa? Kweli kaka..
Atakupenda tu we kaza!!!!Siachi BK, Chica tutaenda nae tuu, japo hanipendi. π
Wewe nasikia umepitaa hapa Leo, nimepitwaa alooo?? π’π’ππLeo alhamiss tupieni haha TBT, Sisi wazee tutupie tulivyokuwa vijana na vijana watupie walivyokuwa watoto. (Chicca, Coca, Win na Mallerine) Gen Z wa selfika
SafiiNi utani.
Hili tukio hadi mamaangu nilimwadithia wala haijui JF πππ»Btw JF imepoa nowdays nakumbuka yule jamaa eti akatoa location wakapigane
Kama kina Dada mtanitetea sawa maana si wengine waoga maneno kidogo machozi debe π πHupati kesi dada zako tupo tutapiga watu.
Nadhani hukuwepo JF kuna jamaa alimualika mwenzio uwanjani wapigane badala ya kugombana humu πππ»
We wakizingua sema suuuuu!Kama kina Dada mtanitetea sawa maana si wengine waoga maneno kidogo machozi debe π
Ndioooo ππ
Nilikuwepo sana si walikutana Tabata Shule ππππππ
πΉπΉπΉTope utapata wapi wewe Nicole Scherzinger!! Wa kupata tope sio wewe bosi kubwa.
We mwenyewe nimekukosa π© Siku ingine tutakutana hapa πWewe nasikia umepitaa hapa Leo, nimepitwaa alooo?? π’π’ππ
Ngoja nipite TBT πLeo alhamiss tupieni haha TBT, Sisi wazee tutupie tulivyokuwa vijana na vijana watupie walivyokuwa watoto. (Chicca, Coca, Win na Mallerine) Gen Z wa selfika
Tv gani tena πΉπΉUyo yupo kama pisi za kwenye Tv kumbe ushawah muona
Si ndioooooNgoja nipite TBT π
Janja janja FC, msichana mrembo ila tapeli hakamatiki kimapenzi sijui yupoje.Lamomy wengi wanamyali sana! Mjanja mjanja mno/
NImekosa maneno kabisa ya kuweka naomba tukupitishe kama jihan
Udugu selfikaππππ
Baaasiiii π hili limeisha DadaWe wakizingua sema suuuuu!
Sema kipindi kile sikuwa nachangia nilikuwa msomaji tu, Hekaheka nyingi za JF nimezishuhudia ππNdioooo π
Usijariii uduguuu. πππUdugu selfika
Muanze kula carrot kwa wingi, πΉπΉNimemuona hapa hapa mwanangu. Steve Rogers kasema anafanana na Nicole Scherzinger, sikumpinga.