Forza Barca...i've been supporting Barca since 94, kumbe wewe mwenzangu kabisa
Na umerudi Dar kuolewa ....(si umwambie na hii)
Au karibia ni lile gofu la kiwanda cha kahawaHindu Mandal kwa nyuma
HahahahahahaUnaniangusha shemeji,au wewe sio wa migombani
Sent using my 6x6 bed.
Ulimwacha dar ukaenda masomonii
Hahahahahaha
Mimi wa shambani bana shem!!
MyHindu Mandal kwa nyuma
Mshana bar je?!Maeneo yangu hayo mkuu,niliishi miaka flani jirani na bar ya Makini.
Sent using my 6x6 bed.
Wapi, kiwanda cha bia ama njoroNdio,hapo ni mwisho.
Sent using my 6x6 bed.
Hahahahahahaunajua pale mtoni tu
Sent using my 6x6 bed.
Hahah was that Barca's or Chelsea's? nakumbuka kuna siku ulikuwa in full kitAise acha kabisa,, mimi ni Barca damu damu Barca for life.. haha halafu kuna picha niliwahi tupia humu nimepigilia jersey ya Barca
Wewe kwa uingereza uko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you serious?! 94?!Hahah was that Barca's or Chelsea's? nakumbuka kuna siku ulikuwa in full kit
Man U Karma, zote nilianza nazo 1994, kipindi ya TV broadcasting evolution in bongo, hapo mpira tunatazama kupitia KBC ya KE au TVZ ya Zenji kwa antenna yenye booster au kwa wenye nazo walikuwa na zile dish nyeusi za wavu hapo unapata TV za Angola na nyingine nimezisahau...
Dah...mzee mi nina kumbukumbu ndogo sana ya maeneo ya Majengo/Njoro huko...Au karibia ni lile gofu la kiwanda cha kahawa
Hahah naona kanatuzunguka tu hapa...Ulimwacha dar ukaenda masomonii
Ulimwacha dar ukaenda masomonii
Mimi nimekaa sana maeneo ya njoro so maeneo mengi sana ya hapo nayapata vizuri.Hiyo mkaleso siifahamu kwakweli.Dah...mzee mi nina kumbukumbu ndogo sana ya maeneo ya Majengo/Njoro huko...
Wakati huo nilikuwa naenda sana mitaa ya Mkaleso (sijui kama bado ipo), kuna jamaa zangu walikuwa huko...hapo chuga ndio ilikuwa makazi
Chuga Moshi ilikuwa ni dk 45 kwa coaster, enzi hiyo hakuna wazee wa favor, so unakwenda Moshi kuzuga baadaye unageuza Chuga
Hahaha,Tarehe 23 nitakuwa yale maeneo yangu,unialike basi Christmas.Hahahahahaha
Ndiwooo, pale tunaoshea karoti na mboga mboga
Wapi, kiwanda cha bia ama njoro
Yes darlingAre you serious?! 94?!
Mmmhhh, sijui nilikuwa na miaka ngapi!
Yes darling...94 it is
Hata World Cup wabongo wengi tulianza ona kwa TV, the same year pia kulikuwa na AFCON ambayo kwa wapenda soka ilikuwa ni AFCON yenye kujaa huzuni na furaha, maana Zambia ambao walitoka poteza timu yao ya Taifa walifika fainali kwa timu mbadala iliyoundwa shaa shaa kwenda kushiriki
Inawezekana tulikuwa na miaka sawa ila nina memory zaidi yako....