Sasa elfu 5 ya nini wakati ushasema ana pesa? Mate tamaa hizo πΉπΉMate nitumie afu 5 nimalize kazi π€£
Sio tu lizuri afu lina hela, mi uchawa tu ananipaga Dollar Ila nayeee mwingiiiiiiiiiii! Mhh mhhh kaka zangu wa singida viwembe nyieeeeeee, humu zingepigwa basi tu βΊοΈ
The Monk
(ntafuta hii comment akishaisoma)
Kwa kweli unanitapeli πππππWewe pia jana hukuwepo tajiri.
Hizi ID sizimiliki hata Moja , Ghayo ni mwanangu kama ilivyo wewe na Chiwawa , sababu namuweza nikamtikisa kidogo akajaa kwenye mfumo akajikuta anashare screenshot ya IDs zake Jf baada ya kubishana nae kwenye Uzi Fulani sasa Mimi nikaziSave chap kwa haraka kabla hajafuta. πUlitakiwa uwe footballer mwanangu huo utege ππ
Vitru vyangu kabisa Ukiacha zile id zako za ghayo gengez..!! πΉπΉ
Sema kweli πΉπΉNimemuona papa mtu ya kongo
Mimi na yeye naona hatuingiliani kwakweli ππ
Mimi sio vitu vyake wala yeye sio vitu vyangu π€£
Yeye ni babu mwalimu wangu wa lingala
Papaaa mwaga makuta, mwaga dolali, mwaga farangaβ¦ πΉπΉπΉ
Matukio muhimu πΉπΉSema humu ukidate lazima ulambwe matukio we kwa jinsi wadada wa selfika mlivyo motoooooo
Nadhani kila anaekesha humu analala kama panga ukiwa na babe wako uwe active saiv uache kukuna nazi we uliona wapiπ π πSEma kukumbatia mto pia Kuna Raha zake!haha
Igweeeeeeee efu tano yangu ya kiingilio nifanye uchawa kama steve nyerere.Sasa elfu 5 ya nini wakati ushasema ana pesa? Mate tamaa hizo πΉπΉ
Wewe niweke suala la ukiwembe wake niachie mimi..!! πΉπΉ
Li monk lizuriii bhana awww π₯°π₯°
Lilivyoselfika siku ile moyo ukalia paahh π₯
π«‘
π«‘
π«‘
Igweeeeeeeeeeeeeeeeee
Wee si muongo muongo lazima uishiwe mistari πΉπΉπΉhaha! Mpaka Kuna mda vocal zinaisha! Nahisigi mistari yote nishaimalizaga!
Ubishi tu
Haya ni manini jamani mnaongea humu kuna watoto πNadhani kila anaekesha humu analala kama panga ukiwa na babe wako uwe active saiv uache kukuna nazi we uliona wapiπ π π
Hatutakiiii πΉπΉIbaki namba moja. Sina pesa yeyote mimi.
πΉπΉπΉ Kama kweli vile..!!Ndio sehemu pekee chino hua anajimaliza
Nimesema kweli tena kweli tupuSema kweli πΉπΉ
Terminator πΉπΉHizi ID sizimiliki hata Moja , Ghayo ni mwanangu kama ilivyo wewe na Chiwawa , sababu namuweza nikamtikisa kidogo akajaa kwenye mfumo akajikuta anashare screenshot ya IDs zake Jf baada ya kubishana nae kwenye Uzi Fulani sasa Mimi nikaziSave chap kwa haraka kabla hajafuta. π
Hapo Kuna ID "driz de mafwele " aliianzisha ili kuchafua jina langu , alivyoona sijastuka kaja na mpya Adryz ambayo imeiga jina mpaka avatar ili kuzua taharuki ..
Ndio maana akaunti yangu nimeVerify kuweka blue tick ili kujitofatisha sababu kubwa ni ushenzi wa Ghayo kuiga ID yangu na kuanzisha vitu vya hovyo π
View attachment 3691458
View attachment 3691459
Muache babe wangu magayo ππππHizi ID sizimiliki hata Moja , Ghayo ni mwanangu kama ilivyo wewe na Chiwawa , sababu namuweza nikamtikisa kidogo akajaa kwenye mfumo akajikuta anashare screenshot ya IDs zake Jf baada ya kubishana nae kwenye Uzi Fulani sasa Mimi nikaziSave chap kwa haraka kabla hajafuta. π
Hapo Kuna ID "driz de mafwele " aliianzisha ili kuchafua jina langu , alivyoona sijastuka kaja na mpya Adryz ambayo imeiga jina mpaka avatar ili kuzua taharuki ..
Ndio maana akaunti yangu nimeVerify kuweka blue tick ili kujitofatisha sababu kubwa ni ushenzi wa Ghayo kuiga ID yangu na kuanzisha vitu vya hovyo π
View attachment 3691458
View attachment 3691459
Hujui kukuna naziHaya ni manini jamani mnaongea humu kuna watoto π
Unazo mwaga hapa mivoucher tuogelee papaa πΉAcha basi kunikoleza, dolali zitoke wapi! π
Kuna nyumba hazina daliNadhani kila anaekesha humu analala kama panga ukiwa na babe wako uwe active saiv uache kukuna nazi we uliona wapiπ π π
Kwa kweli unanitapeli πππππ
Mnasubiri usiku wa manane kama wanga cha pili mnafanya sa ngapi chino ππKuna nyumba hazina dali
SAsa hivi ni mapema sana