Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi unajua The Monk kaka yangu naeza mgawa sasa hivi, Afu goma lake liko humu sema haliko selfika 😂😂😂 Hii comment ntaifuta baada ya muda maana nakuwa nimesambaza umbea 🤦🏻‍♀️
Kaka ako wapiiii 😹😹

Sema li monk lizuriiiiii 😍😍

Ungekuwa sio mate wangu ningemkwapua 😹😹😹
 
Navopenda chakula cha wachina mimi, nina marafiki zangu waliniletea hii sijui walijua mi mlevi mwenzao, Linaonekana li kali kama bomu sijawahi onja nimeiweka tu

View attachment 3691451

Ntamtunuku Bwashe min -me
Hili bomu ukimpa min atamtukana mpaka Max 😹😹😹
Chondechonde usimpe, muache apambane na visungura vyake..!!
 
Papaa yupo hapo hapo 🔥🔥🔥

Vitru vyako aiseeee..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…