binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,783
- 46,842
Nyie wenye mawowowo ndio mambo yake.Vinjunga vitakua vingi siku hiyo..!! πΉπΉ
Mwisho tumchanganye Fally πΉ
Mamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni πππ
Papaa, Papaa, Papaa
Nimekuita mara ngapi?
Njoo vile uko na maringo mingi kumbe uko muzuri kama Fally Ipupa..!!
Inatakiwa mumama aliyekuweka kwa tumbo apewe zawadi ya kikwembe πΉ
Piga mabobo kwa papaaa π₯°π₯°π₯π₯
Papaa ana vitu vyako, body lina degree ya uvuvi haramu..!! πΉSijamuona le papa jamani anafuta chap anaogopa wasiojulikana
Upapaa wa pesa mingi ukiingia counter ni Ndenge nini cherry mwasi kitokoFally nitakuwa mie mchimba chumvi! Mimi sina maringo, hapa BK atanisaidia.
Sasa upapaa upi, unamananisha?
Upo upapaa kwa maana ya ubaba/mukulu, upo upapaa kama pedeshee (Mutu ya pesa mingi), upo upapaa (udii) yaani utapeli! π
Wamemtupa huko machakani kwa wanyiha..!! πΉπΉNimemiss yuko saiti au amepata chimbo jipya la uchawa apige hela za abuduli
πππππ Huyu nilikwambia hajatulia ukabishaNa wewe unamuunga mkono?
Kwanza ulivyokua haupo kasema hakupendi πΉπΉπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Nimekutunzia maa π€
Weka muamala chap
Yeye ndo kanambia we hujatulia umeenda temple kwa monkπππππ Huyu nilikwambia hajatulia ukabisha
Ulitakiwa uwe footballer mwanangu huo utege ππNabadilika kuendena na matukio , nikipita K/koo napitaga KiGangstar kama hivi π π
Mr white , Kibegi na Cap na Raba
View attachment 3691448
Umenitibu matatizo yatamaaNjoo mi nikupende hivyo hivyo hata kama hunipendi πΉπΉ
HaiyaaaaBK hana haja ya kukupa pesa kwa picha yangu. Akiniomba nampa. π
Mi niko Tabata tayari tbt tosha..!! πΉNyoooooooo ππππ
π
Haya tupia tbt
Hivi unajua mimi sio kama Coca, Coca anapenda miili fulani hiviPapaa ana vitu vyako, body lina degree ya uvuvi haramu..!! πΉ
Ila wewe!Mi niko Tabata tayari tbt tosha..!! πΉ
Hamna nyingine tuangalie uumbaji mate..!!
Chuma cha fore moja hiyooo
Wapi Patel..
Hii mistari unampiga nani? πΉUjue toka nikujue nimekua mvivu zama pm za wadada wa jf. ( Ukweli ambao hautaki kuusikia) Hahaha.
Mtu kama Mimi nahisi nimebaki peke angu hapa jf
Tumempata mbaya wetu si ndiooo π©ππYeye ndo kanambia we hujatulia umeenda temple kwa monk
Mbaya huyo
Unaenda kulala peke Ako kabisaChatini haraka haraka nataka nikalale π΄
Fanya mpango πBK hana haja ya kukupa pesa kwa picha yangu. Akiniomba nampa. π
Upapaa wa pesa mingi ukiingia counter ni Ndenge nini cherry mwasi kitoko