Ushaanza roho mbaya πΉπΉWe haulambi
πππππ wewe mzinguajiMate huyo πΉπΉπΉ
Mapenzi ndo haya sasa π
Mi napentraaaa haya mambo jamani..!!
Toka hapa kabla sijamuita Country πNa mi mate hata cha afu tatu, mate wako naye apewe..!!
Ulikuwa kadogo ka cute π₯°
Somo baada ya uvumilivu ni mpe mpelelezi taarifa taarifa anavyotakaUshaanza roho mbaya πΉπΉ
Nitamwambia ulisema hauko serious naye..!! πΉ
Dada usiniache pulizzzzzπ’Weeeee mi kila siku mwisho watu wajaze albamu ya screenshot, nitaselfika siku ya fally ipupa.
Lamomy mate nimenunua kinyunga cha afu 35 zile nguo ukivaa kesho yake unatupa π
Mchuchu Sina!Chino hivi mchuchu wako nani hapa JF tuache kwanza utani..!! πΉ
Mamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni πππSina sukari, sina ugonjwa wowote. Nashukuru Mungu.
Kasulu hadi bank kuna vumbi acha masihara π π₯Sasa nikiwa huku Kasulu ndani
View attachment 3691441
Hizi sasa ndo ewaaTBT 2017 hostel, Chivundu wanawake sio wote wanakuwa wazuri in their 20βs mi nilikuwa kimbau mbau mwiko wa pilau π©
View attachment 3691442
πΉπΉπΉ Mi nawatania atakayekasirika akakojoe alale..!!Baaasiiii π€£π€£ ila Selfika makariko kando
Halambi kweli π Umenikumbusha kwetu huu msemo π€£We haulambi
Mbona kikwembe lol π€£π€£π€£ππΌMamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni πππ
Papaa, Papaa, Papaa
Nimekuita mara ngapi?
Njoo vile uko na maringo mingi kumbe uko muzuri kama Fally Ipupa..!!
Inatakiwa mumama aliyekuweka kwa tumbo apewe zawadi ya kikwembe πΉ
Piga mabobo kwa papaaa π₯°π₯°π₯π₯
Sizururi otherwise ningekua kama mtumbaKasulu hadi bank kuna vumbi acha masihara π π₯
Wachaa wee, πππVitu kwa ushahidiπΉπ₯
πΉπΉπΉ nipe zawadi, lakini moyo wako upo kwa yule jamaa The monk uongo? πΉMi hujakosea ππ
πππππΉπΉπΉ Aniletee IPhone kipapri paprii akirudi..!!
kiziwi kumbe wa juzi tuTBT 2017 hostel, Chivundu wanawake sio wote wanakuwa wazuri in their 20βs mi nilikuwa kimbau mbau mwiko wa pilau π©
View attachment 3691442
Anakasirika asiekujuaπΉπΉπΉ Mi nawatania atakayekasirika akakojoe alale..!!
Tunapenda sehemu ambazo hatupendwi tunapopendwa nasi hatupapendi.Umeona eeeh kuna mambo hayaelezeki muacheni marehemu alishikika ππΌ
Acha masihara 32 mimi ndio maana nimekuahidi kukuleakiziwi kumbe wa juzi tu