ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,411
- 49,733
Endelea kumharibia kwa crush wake πWala sijamsingizia, tena wewe anakulia mingle kitambo sema unajifanya huoni..!! πΉπΉ
Uoga huo!Ngoja nimuombe ruhusu ya kumtaja. Nisije kutaja hapa, akaniacha.
Kweli lakini haya banaKila mmoja na ndoa yake, ya A sio ya B
Huyo crush wake naye atakua mshamba sasa πΉπΉEndelea kumharibia kwa crush wake π
Nilitaka kusema huyo mkongo haeleweki mi naona kila sehemu anataka kuweka mguuπ€£π€£ππΌ
Kasoro kwangu umemsingizia
Eti eeh cha peke yako kaburi basi sawaπ€£Huyo crush wake naye atakua mshamba sasa πΉπΉ
Mana yake chivundu alimzalia yeye peke yake? πΉ
Safii endelea kujitunza π€Wala, ningekuwa wa kuweka miguu kila sehemu, ningeshajukikana hapa. Wanawake wa humu ni mashosti, ukitongoza mmoja, wanakaa kama kijiji.
Kwa mfano ukimtongoza Mallerina, lazima Lamomy & Co zitajua. π
Safii endelea kujitunza π€
Yupo humu humu ?Sio kujitunza, mtu yupo.
Na kweli ndoa tuachieni sisi masikini hatuna Cha kupoteza zaidi ya nguvu za kiume.Aaa wapi huko kwa kina ndoa kila siku mapanga nje nje
Kuna mtu kajitia kitanzi kwa kunyimwa kei π huko kwenye ndoa mnanyimana ?Na kweli ndoa tuachieni sisi masikini hatuna Cha kupoteza zaidi ya nguvu za kiume.
Ndiwoo πΉEti eeh cha peke yako kaburi basi sawaπ€£
Kwahiyo unamuogopa kumtaja? πΉSio kujitunza, mtu yupo.
Mwenyewe kasema mtu yupo hataki tu midomo midomoNdiwoo πΉ
Kama anajiamini yuko peke yake amtaje πΉMwenyewe kasema mtu yupo hataki tu midomo midomo
Na unamnyimaje mwenzio?Kuna mtu kajitia kitanzi kwa kunyimwa kei π huko kwenye ndoa mnanyimana ?
Kwahiyo unamuogopa kumtaja? πΉ
Mtaje ili uwajue wenzio mnaoshare kumdonyoa..!! Hii sikufundishi tena πΉ
Umalaya huo πΉNa unamnyimaje mwenzio?
SIjajua huyo kanyimwa kwa mda gani mpaka akaamua kutekeleza hayo maamuzi yako?
Ila na yeye kei zote hizi akaamua kujitundika. Na mashaka na vitu alivyokua akipewa marehemu na mke.
Kuna watu wamebarikiwa sana nashangaa watu wanaosema kei ni kei. Oyaaaa haha.
Kama anajiamini yuko peke yake amtaje πΉ