Utapataje bwana na hutupii picha wakuchague😹Hapa selfika kila mdada kasoro (mimi 😹) ana mabwana watatu, mshika mapembe, mchepuko na crush..!!
Ukibisha ubishe kwa fact 😹😹😹
Mfano; udugu wangu coca
Mjep
The Ghost writer
……………. Huyu namjua mimi tu!!
😹😹😹 Hawanitaki nina mdomo etiii..!!Utapataje bwana na hutupii picha wakuchague😹
Atakupa boss yule hana njaa njaa 😹Anipe na mimi basi mtaji😹
Nimemwambia anitengenezee iliyoandikwa Yanga bingwa mpaka leo hajaniletea, sijui mshabiki wa Simba yule..!! 😹Naomba nione uliyochagua 😹😹baada ya huo mpasho ulichukua kadhaaaa
Leo alhamiss tupieni haha TBT, Sisi wazee tutupie tulivyokuwa vijana na vijana watupie walivyokuwa watoto. (Chicca, Coca, Win na Mallerine) Gen Z wa selfika
We ukipendwa vizuri huo mdomo utaacha tu hujapata wa kukupenda kisawasawa🤣😘🥳🔥😹😹😹 Hawanitaki nina mdomo etiii..!!
🤣🤣🤣staki na mimiAtakupa boss yule hana njaa njaa 😹
Yanga bingwa kwa shanga ya kiunoni wapi na wapi😹💔Nimemwambia anitengenezee iliyoandikwa Yanga bingwa mpaka leo hajaniletea, sijui mshabiki wa Simba yule..!! 😹
Sasa nivae ya “nipe yote” namvalia nani? 😹Yanga bingwa kwa shanga ya kiunoni wapi na wapi😹💔
Kwanini humtaki na umesema uko single? 😹🤣🤣🤣staki na mimi
😹😹😹 Afu mi nikiona mwanaume anataka kuniletea mambo ya mapenzi ndo namletea mdomo mpaka aahirishe kunichorea makopa moyoni mwake..!!We ukipendwa vizuri huo mdomo utaacha tu hujapata wa kukupenda kisawasawa🤣😘🥳🔥
AstaghafirullahHapa selfika kila mdada kasoro (mimi 😹) ana mabwana watatu, mshika mapembe, mchepuko na crush..!!
Ukibisha ubishe kwa fact 😹😹😹
Mfano; udugu wangu coca
Mjep
The Ghost writer
……………. Huyu namjua mimi tu!!
Nikuwekee mkeka wako? 😹Astaghafirullah
Utazeeka ukiwa single,😹😹humuoni Steve Rodgers..spidernyoka...chivundu?😹😹😹 Afu mi nikiona mwanaume anataka kuniletea mambo ya mapenzi ndo namletea mdomo mpaka aahirishe kunichorea makopa moyoni mwake..!!
Staki mtu nataka niwe freee jukwani🥳nijiachieKwanini humtaki na umesema uko single? 😹
Au una mtu unampenda hapa?
Hebu weka mahi nijione kwa uzuri🤣Nikuwekee mkeka wako? 😹
Hio tamu hioSasa nivae ya “nipe yote” namvalia nani? 😹
Jamani mbona huwa napita ukiniambia nipite? Jana tu na juzi.Si kama mimi tu nkikuomba upite mamaa